Kwaya huandaa na kushiriki mikutano na makongamano ya Kikristo yenye lengo la kuimarisha imani na mshikamano wa waumini. Mikutano hii pia hutoa fursa za kubadilishana mawazo na kujifunza kutoka kwa wengine.
2024-2025 Utume Wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA RC), All right reserved.