Kwaya hujishughulisha na miradi ya kusaidia jamii zenye uhitaji, ikiwemo kutoa misaada kwa yatima, wazee, na wagonjwa. Pia hushirikiana na taasisi mbalimbali za kijamii kuleta maendeleo.
2024-2025 Utume Wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA RC), All right reserved.