UKWAKATA huandaa matamasha ya nyimbo za kiroho yanayoshirikisha kwaya mbalimbali kutoka maeneo tofauti. Matamasha haya yana lengo la kueneza ujumbe wa Injili na kuburudisha jamii kwa muziki wa Kikristo.
2024-2025 Utume Wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA RC), All right reserved.